MAADHIMISHO YA UMOJA WA MATAIFA
HOTUBA
MATUKIO
8 Machi
Siku ya Wanawake Duniani

21 Machi
Siku ya Kimataifa ya Kuutokomeza Ubaguzi wa Rangi

Kuanzia 21 Machi
Wiki la Mshikamano na Watu Wanaopambana na Ubaguzi na Ubaguzi wa Rangi

22 Machi
Siku ya Maji Duniani

23 Machi
Siku ya hali ya Hewa Duniani

24 Machi
Siku ya Kifua Kikuu Duniani

7 Aprili
Siku ya Afya Duniani

23 Aprili
Siku ya Vitabu na Hatimiliki Duniani

25 Aprili
Siku ya Malaria Katika Afrika

26 Aprili
Siku ya Kazi za Sanaa

3 Mei
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

15 Mei
Siku ya Kimataifa ya Familia

17 Mei
Siku ya Mawasiliano Duniani

22 Mei
Siku ya Kimataifa ya Baiolojia

Kuanzia 25 Mei
Wiki ya Mshikamano na Watu w Nchi Zisizojitawala

29 Mei
Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa

31 Mei
Siku ya Kukataza Tumbaku Duniani

4 Juni
Siku ya Kimataifa ya Watoto Wanaoteswa Bila Makosa

5 Juni
Siku ya Mazingira Duniani

12 Juni
Siku ya Kupinga Ajira ya Watoto Duniani

17 Juni
Siku ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani

20 Juni
Siku ya Wakimbizi Duniani

23 Juni
Siku ya Huduma kwa Watu

26 Juni
Siku ya Kimataifa ya Wanaoteswa

26 Juni
Siku ya Kimataifa dhidi ya Utumiaji na Biashara Haramu ya Madawa ya Kulevya

5 Julai
Siku ya Kimataifa ya Vyama vya Ushirika

11 Julai
Siku ya Idadi ya Watu Duniani

9 Agosti
Siku ya Kimataifa ya Watu Asilia

12 Agosti
Siku ya Vijana Duniani

23 Agosti
Siku ya Kimataifa ya Kukumbuka Biashara ya Utumwa na Kufuta

8 Septemba
Siku ya Kimataifa ya Kujua Kusoma

16 Septemba
Siku Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Ukanda wa Ozoni

21 Septemba
Siku ya Amani Duniani

26 Septemba
Siku ya Bahari Duniani

1 Oktoba
Siku ya Kimataifa ya Wazee

7 Oktoba
Siku ya Kimataifa ya Makazi

4-10 Oktoba
Wiki ya Anga za Juu

5 Oktoba
Siku ya Walimu Duniani

9 Oktoba
Siku ya Posta Duniani

10 Oktoba
Siku ya Magonjwa ya Akili Duniani

Juma la Pili la Oktoba
Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Majanga ya Asili

16 Oktoba
Siku ya Chakula Duniani

17 Oktoba
Siku ya Kimataifa ya Kuondoa Umaskini

24 Oktoba
Siku ya Umoja wa Mataifa

24 Oktoba
Siku ya Habari za Maendeleo ya Dunia

24-30 Oktoba
Wiki ya Kuondoa Silaha

6 Novemba
Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Uharibifu wa Mazingira wakati wa Vita na
Mapambano ya Silaha
16 Novemba Siku ya Kimataifa ya Kuvumiliana

20 Novemba
Siku ya Viwanda Afrika

21 Novemba
Siku ya Televisheni Duniani

25 Novemba
Siku ya ya Kimataifa ya Kuondoa Udhalilishaji wa Wanawake

29 Novemba
Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Watu wa Palestina

1 Desemba
Siku ya UKIMWI Duniani

2 Desemba
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Utumwa

3 Desemba
Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu

5 Desemba
Siku ya Kimataifa ya Wanaojitolea

7 Desemba
Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga

10 Desemba
Siku ya Haki za Binadamu Duniani

18 Desemba
Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji


KATIBU MKUU
UJUMBE WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
8 Machi 2005

Mwaka huu ni wa maadhimisho ya hatua kubwa katika juhudi za usawa wa jinsia na maendeleo ya wanawake - ni kipindi cha mapitio ya miaka kumi ya Mkutano wa Beijing na Ulingo wa Harakati za Utekelezaji. Katika mwaka 1995, akina mama walikusanyika huko Beijing na kupiga hatua kubwa sana kwa niaba ya binadamu wote. Kutokana na tukio hilo, kwa mara ya kwanza kabisa dunia ilitambua kwa kina kwamba usawa wa jinsia ni jambo la kipaumbele katika maendeleo na amani kwa kila taifa. Miaka kumi iliyofuata, sio tu kwamba wanawake wamekuwa na ufahamu zaidi kuhusu haki zao; bali pia wamekuwa na uwezo zaidi wa kuhakikisha haki hizo zinatekelezwa.
Soma habari Zaidi >

 

ZIARA ZA KLABU ZA UMOJA WA MATAIFA

Afisa Mwndamizi wa Kituo cha habari Bi. Eshila Maravanyika,
katika moja ya ziara mashuleni iwanafunzi

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Thanks for visiting UNIC Tanzania Website... The site is currently under reconstruction.